Mnazi ipo na producer wakali na wafanya kazi.zingatia ujumbe huu.

Sunday, 20 December 2015 | 0 comments

ndugu wna mnazi hatupo na producer ema tena na sio
producer wa mnazi j records.usije ukatapeliwa kutuma
fedha ama kudanganyika na producer huyo,
mnai j ipo na producer mwingine na unakaribishwa
kufanya kazi mnazi by mnaz j.

kazi mpya toka mnazi

Monday, 2 November 2015 | 0 comments

Ni kazi nzuri toka mnazi J records arusha town inakuletea kazi nzuri
na mpya toka mnazi j records.download kazi mpya hizo toka mnazi
hulkshare.com.Ni wewe tu jipakulie kazi nzuri na uweze kujiacha,
a townnnnnnnnnn na wazeee wa arusha city mpakaaaaaa darrrrrr.

www.hulkshare.com/motechjames

Click blog iliopo hapo juu na ujipatie ngoma nzuri ambazo hua
unazisikia kupitia redio station mbali mbali hapa A city.
http://www.hulkshare.com/motechjamesKazi kwako.

Tazama kazi nzuri kupiti http://www.hulkshare.com/motechjames

Monday, 12 October 2015 | 0 comments

http://www.hulkshare.com/motechjames
Ngoma mpya na nzuri kupitia hulkshare ya mnazi.

http://www.hulkshare.com/motechjames



MTUMISHI WA MUNGU TOKA MNAZI WILL JOHN AZUNGUMZIA KAZI ZA MNAZI

Friday, 31 July 2015 | 0 comments

Ni mtumishi wa Mungu anae sapotiwa na nguvu kubwa ya kinabii kutoka Ngurumo ya upako,
WILL JOHN ambaye alipokea uponyaji katika madhabau ya Ngurumo na sasa ameamua kumtumikia, MUNGU  JEHOVA SHAGI kwa njia ya uimbaji.Pia unaweza pata kazi zake
kupitia blog ya mnazi j records ambapo utapata kazi zake nzuri sana kupitia hulkshare ya mnazi.
Jipatia kazi nzuri ikiwemo albino, moyo tulia na nyinginezo nyingi.

NGURUMO YA UPAKO KUTOA TRUCK TOKA MNAZI

| 0 comments

Ni baada ya Mnazi j Records kupata wasanii toka Nrurumo ya Upako kwa Nabii DR.GEO DEVI,
Palikuwepo na Ngoma kali Ambazo zitafanya vizuri kutokana na Neno la kinabii.
Utaweza pia kuzisikia kupitia 99.2 N.Y.U Redio Kisongo.

NGURUMO WA UAPAKO JOH DEVI

| 0 comments

Ni baada ya kurecords kazi nzuri kupitia Watumishi wa Mungu toka Ngurumo ya upako,
Kanisa la mtakatifu naabii JOH DEVI.Sikiliza kazi nzuri kupitia Redio ya Ngurumo wa upako,
ya Joh devi kisongo Arusha Tanzania.
Ni Kazi nzuri kutoka mnazi J records pande za kwa Idd mail sita, Ngaramtoni.
Karibu mdau wa mnazi ufanye kazi nzuri na safi zisizokuwa na wasiwasi.Ni wewe tu.

mziki ni kazi sio mapenzi

Tuesday, 12 May 2015 | 0 comments

Hua inatoka kwa watu baathi ambao wanajituma na kufanya mambo mazuri sana.
ukiangalia watu wengine hufanya mziki kama fun ya mapenzi.
Ni maandishi na matamkwa yake mnazi j.Hua watu wanafanya mziki kama
unavyokwenda buchani kukatiwa nyama.Mziki ni kazi kama kazi nyingine.
Wewe mwanamziki fanya kazi kama maisha yako ya everdayyyyyyy wazawa
Akamalizia kwa kusema music is my passion na ni kazi kubwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
sanaaaaaaa kwangu.love all ya.

TAREHE 16 NI FLEVA KALI MISHAGWELA STAGE.KWA MROMBOOO ARUSHA

Saturday, 9 May 2015 | 0 comments

MNAZI PRESENT GOOOOOOOOOOOOOOD ZAWADIII KWA WALE WATAKAO FANYA POA KATIKA STAGE YA MISHAGWELA STAGE KWA MROMBOOO.
MSHINDI WA KWANZA WA PILI WA TATU ZAWADIII HIYOOO NI NDANI YA STUDIO  MNAZI J RECORDS NA KUMWAGA SAUTI YAKO MURWAAAAAAA.

JIPATIE USHINDI MNONO NA KURECORDS NGOMA MNAZI J RECORDS ARUSHA.TAREHE 16 JUMAMOSI KAZI KWAKO

| 0 comments

Mnazi anatoa offer ambayo ni wewe undeground utakaye weza kujishushia mambo murwaaaaaa
kupitia mnazi j records arusha.sasa kazi kwako je upo tayari.
Mshindi wa kwanza kujipatia ngoma mbili bure ambazo zitarecordiwa mnazi j records
Na  mshindi wa pili kujipatia ngoma moja bureeee na beat ambayo itarecordiwa mnazi j records
Na mshindi wa tatu kujipatia ngoma moja bureeeeeee kabisaaaa.
Fursa yako kijana dada shangazi mama waweza pata bahati hiyoooooooo.


NI NDANI YA MISHAGWELA STAGE ARUSHA KWA MROMBOOO JE DADA KAKA
UPO TAYARI.TAREHE 16 JUMAMOSI NI PASHA NI KUPASHE NDANI YA STAGE
UJIO BAND,DONCLASSIC BOYS,ALLYNOG ,J LOVE,RAGGA VOICE NA WENGINE WEEEEEEEEEEEEEENGIIIIIIIIIIII.KARIBU KWA KIINGILIO CHA BUKU TATU NAMAANISHA 3000.MUSIC IS MA PASSION WAT ABT U??????????????????

Monday, 4 May 2015 | 0 comments

Ni kugongaaaa nyimbo mpyaaa everday Mazeee.Yes funs wa mnazi j records soon tunaibuka na video camera ambayo itafunguliwa mnazi j record mwezi wa sita ambayo itakuwa kwa wewe msanii kuweza kupiga audio na kupiga video.

Ukitaka kujipatia Nakala yako ya mnazi j ALBUM ni kufika studio aiseee.Chugga one

| 0 comments

Ni nakala na album ya mnazi j mwenyewe akiwa amemwaga kazi
mpya 2015 ni wewe kujipatia nakala yako ambayo itapatikana
mnaz j Records.Nikimaaanisha ofisini wazawa.
Big up to all who gave me sappot ya kumaliza kazi yangu,
akiwemo,Ma producer Imma touch,Jaffet,Neno.Halla ma boys.
Ni album inayozungumzia hali ya maisha na shukrani kubwa kwa
wazazi.No love stories sorry guys....................................
Kuna baathi ya ngoma toka kwenye album ambazo utazipata kupitia
hulkshare ya mnazi kama.asante wazazi,heshima na Tanzania yetu.


Kinachoendelea Mnazi j records

Friday, 24 April 2015 | 0 comments

Unataka kujua nini kinaendelea kutoka mnazi j Records
www.hulkshare.com/motechjames
Ingia hulkshare ya mnazi uweze kujipatia Ngoma nyingi na 
za mustarehe kupitia hapo.
Ni kwaya na fleva nyingi ambazo zimeweza kuachiliwa
kupitia mnazi j Records from A city

top c kuachilia ngoma mnazi j record a town

| 0 comments

Tukiwa na Top c Ndani ya mnaz j records aachilia kitu chake kipya,
ambacho kitatoka next week akiwa amewashirikisha ujio band
watoto wa arusha town kwa mromboo.Utapata Ngoma hiyo kupitia
hulkshare ya mnazi j records
www.hulkshare.com/motechjames

Hua Tunasababisha.Kazi mpya soon kuachiliwa Ndani ya Blog ya mnazi.

Monday, 23 February 2015 | 0 comments

Utapata Ngoma Mpya zilizotoka Mnazi J Records soon,
Yes kwa wewe mfuatiliaji wa blog ya mnazi utaweza
kujipakulia Ngoma kali na mpya ambazo utazipenda
na pia utapata ujumbe mzuri sana.Ni kupitia hulkshare
ya mnazi utaweza kupata Ngoma zote mpya.

http://www.hulkshare.com/motechjames

Monday, 2 February 2015 | 0 comments

Ni kutembelea http://www.hulkshare.com/motechjames hapo na kujisikilizia Ngoma
Poa kutoka Mnazi J records.Yes we do it Mnazi.Huwa tunapenda kufanya inavyotakiwa,
Ndani ya Mnazi J records.Jipatie Kitu kizuri,Safi mpenzi wa music na ma funs tooo.
Yes kula Ngoma poa kupitia hulkshare ya Mnazi.

Jaffet na kitu kipya cha Dini

| 0 comments

Kwa wale wapenzi wa Nyimbo za Dini.Yes ni mkubwa jaffet kutoka arusha,
akija na kitu kipya cha Dini kwa kiswahili poa nyimbo mpya ya Gospel ambayo
kwenye maongezi yake na mnazi amesema kuwa hiyo atakubali iwe released
kwenye blog ili watu baathi waweze kujua kitu ghani anafanya.Ni nyimbo yake
ya tatu kupiga katika studio ya Mnazi J records.Na tumekubali kazi zake na
tunaweza ingia kolabo nae haraka iwezekanavyo.
Jaffet akiwa na group lake(stedshow wake)Wakijiandaa kupiga ngoma yao
mpya na producer Ema toka Mnazi J record.

Kazi mpya ya regge kutoka regge voice Arusha.Soon kurushwa hewani.

| 0 comments

Kitu kipya kutoka kwa regge Voice wa ARUSHA TOWN.Ngoma inaitwa Happy,
Ni kitu utakachokipata next week kupitia blog ya mnazi J record Arusha moja.
Utajipatia na Nyimbo mpya zilizo rekodiwa Mnazi ambazo zimekuwa tishio moja
kubwa street Arusha.Producer ema akifanya kazi moja ya ziada mnazi J records
na kuwaambia watu wajiandae na mapini mapini kwa kiswahili fasaha nyimbo
kabambe.

NGOMA MPYA KUTOKA MNAZI J RECORDS IITWAYO ASANTE WAZAZI.

Wednesday, 21 January 2015 | 0 comments

http://www.hulkshare.com/motechjames
Ni ngoma mpya kutoka kwa mnaz j iitwayo asante wazazi.Pakua Ngoma mpya hiyo kupitia link hapo juu.

MNAZI ATUPIA HEWANI STUDIO.KARIBUNI WOTE

Monday, 19 January 2015 | 0 comments

KARIBU MNAZI J RECORD UJIPATIE TRACK YAKO POA.......
NI BAATHI YAMAZINGIRA NDANI YA MNAZI J RECORDS YALIYOTUPWA KWENU
NA MNAZI MWENYEWE


















MNAZI J KUTOA ONYO KWA WATU WAARIBIFU.

| 0 comments

Usikubali kupewa Ngoma yoyote ya Mnazi isiokuwa na nembo Hii..Funs endapo utafika Mnazi J record na ukawa umerecord Ngoma yako na kumalizika, utajipatia Cd Original ya mnazi ikiwa na Nembo kama ilivyo hapo Chini.Popote uendapo redioni ama sehem nyingine yoyote huta weza kupata nembo kama hiyo.
Kuna watu baathi wameamua kutoa nembo kama za mnazi na kuprint Cd kama ya mnazi.Haki zote zimeifathiwa endapo utakutwa na Cd ya mnazi (Feki) Utachukuliwa hatua ipasavyo.
Kumbuka kuwa Mnazi ina Cd mbili.Original Cd kama (Mastering) na Raugh Cd kama(Mtu kaimba siku hiyo na kuchukua kazi yake siku hiyo hiyo)Kuwa makini Sana kwa wale watu wapenda kupitia Migongo ya wenzao.
By;
Mnazi.

                                                            (ROUGH CD)NA (MASTERING CD)


                                                                                                                

Kwaya ya vijana TPRI wakiwa wamemaliza Kurecord Album.

Sunday, 18 January 2015 | 0 comments

Ni kwaya ya vijana ya Mjini Arusha TPRI pande za ngaramtoni kibaoni,wakiwa ndani ya voco room kwa pamoja baada ya kufanya kazi nzito ya Album yao ambapo itakuwa tayari next week na itazinduliwa mwezi wa pili.Je wataka kujua nini vijana walicho kifanya.Utapata nyimbo yao moja kupitia hulkshare.com.Ni wewe kufanya hivi tu.http://www.hulkshare.com/motechjames  na kujipakulia ngoma yako nzuri ya kwaya na uburudike.
http://www.hulkshare.com/motechjames

Pia unaweza kujipakulia Ngoma za Mnazi j Records Kupitia http://www.hulkshare.com/motechjames

| 0 comments

Pia unaweza kujipakulia Ngoma za Mnazi j Records Kupitia http://www.hulkshare.com/motechjames
Kazi kwako wewe ulie mshabiki wa mnazi na pia unakaribishwa studio uweze kufanya kazi ilio bora kama uisikiayo hapo.http://www.hulkshare.com/motechjames

Siku Ikifika.Ni nyimbo mpya kutoka mnazi J records.Jipakulie kupitia Reverbnation

| 0 comments

Posted a new song: "Siku Ikifika" http://www.reverbnation.com/q/5i6b50
Ni nyimbo mpya na nzuri kutoka Mnazi J Records from A town unaweza kujipakulia moja  kwa moja kutoka hapa.Ni ujumbe mzuri alioshusha Mnazi na vina vilivyokamilika akielezea jinsi siku ikifika akakamata mapene(pesa)Yes kama wewe ni fun wa mnazi unaweza sikiliza ngoma poa na yenye ujumbe mzuri.Kazi kwako Mtanzania wetu.Pata vitu.

Unaweza sikiliza nyimbo za mnazi kupitia.Reverbnation.com

Friday, 16 January 2015 | 0 comments

http://www.reverbnation.com/musician/mnazi?profile_view_source=header_icon_navhttp://www.reverbnation.com/musician/mnazi?profile_view_source=header_icon_nav

Unaweza sikiliza baathi ya Nyimbo Kupitia Reverbnation .com,Nyimbo ambazoMnazi
ameweza kuziweka.Na pia kama utaitaji baathi ya beats kutoka mnazi unaweza kujipakulia,
kwa bure kutoka kwenye Revebnation ya mnazi.Ukitaka kumpata mnazi vizuri unaweza
kubonyeza hiyo link hapo juu na utapelekwa direct kwenye profile ya mnazi na kuweza
kupakua ngoma yoyote uipendayo na iliyotoka kwenye STUDIO YA MANAZI.
Kazi kwako wewe ulie fun.

Producer Emanuel Akielezea Media Kuhusu kazi za wasanii.

| 1 comments

Producer Emanuel kutoka Mnazi j Records akielezea kazi nzito ambazo zinafanyika.
Ni shughuli nzito ambazo zinahitaji akili nyingi na competion kwa wingi,Emanuel
akielezea midia amesema kuwa mziki kwa ujumla unahitaji kazi nzito na yaziada,
kutokana na kuwa na competion kubwa.Amesema inahitaji kujituma na pia kuweza,
kumfundisha msanii, kwakuwa wasanii wengi wa sasa hawana vigezo na note nzuri,
za kuimba vizuri.So humchukua mda mwingi kuweza kumuweka msanii wa kawaida,
especially kwa underground kuweza kuimba vyema.Ni mahojiano mafupi na Producer,
Emanuel kutoka Mnazi j Records from A city.

Maojiano ndani ya Idea redio na ngoma mpya iitwayo kamoyo.

| 0 comments

Wasanii kutoka Ngaramtoni pande za kibaoni wakiojiana na kijukuu
wa Idea redio kuhusu ngoma yao iitwayo Kamoyo inahusu jinsi mpenzi,
alivyo muumiza moyo wake.
Ni kazi ambayo imefanywa na producer emanuel kutoka MNAZI J RECORDS,
Pande za ngaramtoni mail sita.
 
 
© Copyright 2010-2011 Mnazi Record All Rights Reserved.
PROPERT OF MNAZI RECORD | Developed by ASILI YETU TANZANIA | Powered by Blogger.com.