Kwa wale wapenzi wa Nyimbo za Dini.Yes ni mkubwa jaffet kutoka arusha,
akija na kitu kipya cha Dini kwa kiswahili poa nyimbo mpya ya Gospel ambayo
kwenye maongezi yake na mnazi amesema kuwa hiyo atakubali iwe released
kwenye blog ili watu baathi waweze kujua kitu ghani anafanya.Ni nyimbo yake
ya tatu kupiga katika studio ya Mnazi J records.Na tumekubali kazi zake na
tunaweza ingia kolabo nae haraka iwezekanavyo.
Jaffet akiwa na group lake(stedshow wake)Wakijiandaa kupiga ngoma yao
mpya na producer Ema toka Mnazi J record.
Jaffet na kitu kipya cha Dini
Monday, 2 February 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment