PICHA: JAMES MNAZI RECORDS.

Sunday, 21 December 2014


Ni baada ya mnazi james records kujaribu kuuwezesha mziki wa watanzania kufika kiwango kizuri cha kimataifa na pia kuakikisha kuwa wasanii wadogo wasiokuwa na uwezo kuweza kufikisha mziki wao kwenye kiwango cha juu cha kimataifa.Mnazi records from A town kufanya kazi na wasanii wote nchini na kuakikisha muziki bongo(Tanzania)kuwa ni kazi kama kazi nyingine.Na kwakuwa pia na ukosefu wa ajira kwa vijana pia ime jaribu kuonyesha uwezo wa kutoa  kipaji chako kama wewe ni mwanamuziki na unaujua muziki vizuri.
From january 2015 lets rock guys.Ni mwendo wa kutoka tuuuuuuuu no back down brothers.

0 comments:

Post a Comment

 
© Copyright 2010-2011 Mnazi Record All Rights Reserved.
PROPERT OF MNAZI RECORD | Developed by ASILI YETU TANZANIA | Powered by Blogger.com.