MNAZI J KUTOA ONYO KWA WATU WAARIBIFU.

Monday, 19 January 2015

Usikubali kupewa Ngoma yoyote ya Mnazi isiokuwa na nembo Hii..Funs endapo utafika Mnazi J record na ukawa umerecord Ngoma yako na kumalizika, utajipatia Cd Original ya mnazi ikiwa na Nembo kama ilivyo hapo Chini.Popote uendapo redioni ama sehem nyingine yoyote huta weza kupata nembo kama hiyo.
Kuna watu baathi wameamua kutoa nembo kama za mnazi na kuprint Cd kama ya mnazi.Haki zote zimeifathiwa endapo utakutwa na Cd ya mnazi (Feki) Utachukuliwa hatua ipasavyo.
Kumbuka kuwa Mnazi ina Cd mbili.Original Cd kama (Mastering) na Raugh Cd kama(Mtu kaimba siku hiyo na kuchukua kazi yake siku hiyo hiyo)Kuwa makini Sana kwa wale watu wapenda kupitia Migongo ya wenzao.
By;
Mnazi.

                                                            (ROUGH CD)NA (MASTERING CD)


                                                                                                                

0 comments:

Post a Comment

 
© Copyright 2010-2011 Mnazi Record All Rights Reserved.
PROPERT OF MNAZI RECORD | Developed by ASILI YETU TANZANIA | Powered by Blogger.com.