mziki ni kazi sio mapenzi

Tuesday, 12 May 2015 | 0 comments

Hua inatoka kwa watu baathi ambao wanajituma na kufanya mambo mazuri sana.
ukiangalia watu wengine hufanya mziki kama fun ya mapenzi.
Ni maandishi na matamkwa yake mnazi j.Hua watu wanafanya mziki kama
unavyokwenda buchani kukatiwa nyama.Mziki ni kazi kama kazi nyingine.
Wewe mwanamziki fanya kazi kama maisha yako ya everdayyyyyyy wazawa
Akamalizia kwa kusema music is my passion na ni kazi kubwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
sanaaaaaaa kwangu.love all ya.

TAREHE 16 NI FLEVA KALI MISHAGWELA STAGE.KWA MROMBOOO ARUSHA

Saturday, 9 May 2015 | 0 comments

MNAZI PRESENT GOOOOOOOOOOOOOOD ZAWADIII KWA WALE WATAKAO FANYA POA KATIKA STAGE YA MISHAGWELA STAGE KWA MROMBOOO.
MSHINDI WA KWANZA WA PILI WA TATU ZAWADIII HIYOOO NI NDANI YA STUDIO  MNAZI J RECORDS NA KUMWAGA SAUTI YAKO MURWAAAAAAA.

JIPATIE USHINDI MNONO NA KURECORDS NGOMA MNAZI J RECORDS ARUSHA.TAREHE 16 JUMAMOSI KAZI KWAKO

| 0 comments

Mnazi anatoa offer ambayo ni wewe undeground utakaye weza kujishushia mambo murwaaaaaa
kupitia mnazi j records arusha.sasa kazi kwako je upo tayari.
Mshindi wa kwanza kujipatia ngoma mbili bure ambazo zitarecordiwa mnazi j records
Na  mshindi wa pili kujipatia ngoma moja bureeee na beat ambayo itarecordiwa mnazi j records
Na mshindi wa tatu kujipatia ngoma moja bureeeeeee kabisaaaa.
Fursa yako kijana dada shangazi mama waweza pata bahati hiyoooooooo.


NI NDANI YA MISHAGWELA STAGE ARUSHA KWA MROMBOOO JE DADA KAKA
UPO TAYARI.TAREHE 16 JUMAMOSI NI PASHA NI KUPASHE NDANI YA STAGE
UJIO BAND,DONCLASSIC BOYS,ALLYNOG ,J LOVE,RAGGA VOICE NA WENGINE WEEEEEEEEEEEEEENGIIIIIIIIIIII.KARIBU KWA KIINGILIO CHA BUKU TATU NAMAANISHA 3000.MUSIC IS MA PASSION WAT ABT U??????????????????

Monday, 4 May 2015 | 0 comments

Ni kugongaaaa nyimbo mpyaaa everday Mazeee.Yes funs wa mnazi j records soon tunaibuka na video camera ambayo itafunguliwa mnazi j record mwezi wa sita ambayo itakuwa kwa wewe msanii kuweza kupiga audio na kupiga video.

Ukitaka kujipatia Nakala yako ya mnazi j ALBUM ni kufika studio aiseee.Chugga one

| 0 comments

Ni nakala na album ya mnazi j mwenyewe akiwa amemwaga kazi
mpya 2015 ni wewe kujipatia nakala yako ambayo itapatikana
mnaz j Records.Nikimaaanisha ofisini wazawa.
Big up to all who gave me sappot ya kumaliza kazi yangu,
akiwemo,Ma producer Imma touch,Jaffet,Neno.Halla ma boys.
Ni album inayozungumzia hali ya maisha na shukrani kubwa kwa
wazazi.No love stories sorry guys....................................
Kuna baathi ya ngoma toka kwenye album ambazo utazipata kupitia
hulkshare ya mnazi kama.asante wazazi,heshima na Tanzania yetu.


 
© Copyright 2010-2011 Mnazi Record All Rights Reserved.
PROPERT OF MNAZI RECORD | Developed by ASILI YETU TANZANIA | Powered by Blogger.com.