Hua Tunasababisha.Kazi mpya soon kuachiliwa Ndani ya Blog ya mnazi.

Monday, 23 February 2015 | 0 comments

Utapata Ngoma Mpya zilizotoka Mnazi J Records soon,
Yes kwa wewe mfuatiliaji wa blog ya mnazi utaweza
kujipakulia Ngoma kali na mpya ambazo utazipenda
na pia utapata ujumbe mzuri sana.Ni kupitia hulkshare
ya mnazi utaweza kupata Ngoma zote mpya.

http://www.hulkshare.com/motechjames

Monday, 2 February 2015 | 0 comments

Ni kutembelea http://www.hulkshare.com/motechjames hapo na kujisikilizia Ngoma
Poa kutoka Mnazi J records.Yes we do it Mnazi.Huwa tunapenda kufanya inavyotakiwa,
Ndani ya Mnazi J records.Jipatie Kitu kizuri,Safi mpenzi wa music na ma funs tooo.
Yes kula Ngoma poa kupitia hulkshare ya Mnazi.

Jaffet na kitu kipya cha Dini

| 0 comments

Kwa wale wapenzi wa Nyimbo za Dini.Yes ni mkubwa jaffet kutoka arusha,
akija na kitu kipya cha Dini kwa kiswahili poa nyimbo mpya ya Gospel ambayo
kwenye maongezi yake na mnazi amesema kuwa hiyo atakubali iwe released
kwenye blog ili watu baathi waweze kujua kitu ghani anafanya.Ni nyimbo yake
ya tatu kupiga katika studio ya Mnazi J records.Na tumekubali kazi zake na
tunaweza ingia kolabo nae haraka iwezekanavyo.
Jaffet akiwa na group lake(stedshow wake)Wakijiandaa kupiga ngoma yao
mpya na producer Ema toka Mnazi J record.

Kazi mpya ya regge kutoka regge voice Arusha.Soon kurushwa hewani.

| 0 comments

Kitu kipya kutoka kwa regge Voice wa ARUSHA TOWN.Ngoma inaitwa Happy,
Ni kitu utakachokipata next week kupitia blog ya mnazi J record Arusha moja.
Utajipatia na Nyimbo mpya zilizo rekodiwa Mnazi ambazo zimekuwa tishio moja
kubwa street Arusha.Producer ema akifanya kazi moja ya ziada mnazi J records
na kuwaambia watu wajiandae na mapini mapini kwa kiswahili fasaha nyimbo
kabambe.

 
© Copyright 2010-2011 Mnazi Record All Rights Reserved.
PROPERT OF MNAZI RECORD | Developed by ASILI YETU TANZANIA | Powered by Blogger.com.