Producer Emanuel kutoka Mnazi j Records akielezea kazi nzito ambazo zinafanyika.
Ni shughuli nzito ambazo zinahitaji akili nyingi na competion kwa wingi,Emanuel
akielezea midia amesema kuwa mziki kwa ujumla unahitaji kazi nzito na yaziada,
kutokana na kuwa na competion kubwa.Amesema inahitaji kujituma na pia kuweza,
kumfundisha msanii, kwakuwa wasanii wengi wa sasa hawana vigezo na note nzuri,
za kuimba vizuri.So humchukua mda mwingi kuweza kumuweka msanii wa kawaida,
especially kwa underground kuweza kuimba vyema.Ni mahojiano mafupi na Producer,
Emanuel kutoka Mnazi j Records from A city.