http://www.hulkshare.com/motechjames
Ni kazi mpya kutoka mnazi j records by producer IQ ambayo inaachiwa redioni
siku zichache unaweza kujipatia nakala yako kupitia hulkshare ya mnazi.Ni wewe
kujipakulia kazi nzuri na safi kupitia mnaz j records.
Download na usikilize vipaji hatari ndani ya muziki huo unaoitwa
sikuamini kama ni wewe.