Ni mtumishi wa Mungu anae sapotiwa na nguvu kubwa ya kinabii kutoka Ngurumo ya upako,
WILL JOHN ambaye alipokea uponyaji katika madhabau ya Ngurumo na sasa ameamua kumtumikia, MUNGU JEHOVA SHAGI kwa njia ya uimbaji.Pia unaweza pata kazi zake
kupitia blog ya mnazi j records ambapo utapata kazi zake nzuri sana kupitia hulkshare ya mnazi.
Jipatia kazi nzuri ikiwemo albino, moyo tulia na nyinginezo nyingi.