PICHA: JAMES MNAZI RECORDS.

Sunday, 21 December 2014 | 0 comments


Ni baada ya mnazi james records kujaribu kuuwezesha mziki wa watanzania kufika kiwango kizuri cha kimataifa na pia kuakikisha kuwa wasanii wadogo wasiokuwa na uwezo kuweza kufikisha mziki wao kwenye kiwango cha juu cha kimataifa.Mnazi records from A town kufanya kazi na wasanii wote nchini na kuakikisha muziki bongo(Tanzania)kuwa ni kazi kama kazi nyingine.Na kwakuwa pia na ukosefu wa ajira kwa vijana pia ime jaribu kuonyesha uwezo wa kutoa  kipaji chako kama wewe ni mwanamuziki na unaujua muziki vizuri.
From january 2015 lets rock guys.Ni mwendo wa kutoka tuuuuuuuu no back down brothers.

Mnazi Record: About

Friday, 19 December 2014 | 0 comments

Mnazi Record: About: Welcome to MnaziJ  Record. Located in Tanzania Arusha since 2014, MnaziJ record has played host to hundreds of classic artists and albums. T...

| 0 comments

HAPA NA PALE YALIYOJIRI USIKU WA ZARI NA VIVAZI VYEUPE DIAMOND NDANI YA KAMPALA



Baadhi ya picha zilizochukuliwa usiku huu kwenye show ya #Zari_AllWhite_CirocParty hizi hapa…

| 0 comments


checkout Mwana wa Dar es salaam

Stay tuned

Sunday, 14 December 2014 | 0 comments

New studio in Arusha turnup for Mnazi recordssssssss...........,,
Ni mwendo wa kutengeneza ngoma kali na kubadilisha newwwww style..karibu kaka na dada uweze
kurecord nyimbo yako poaaaaaaaa sanaaaaaaaaaa
 
© Copyright 2010-2011 Mnazi Record All Rights Reserved.
PROPERT OF MNAZI RECORD | Developed by ASILI YETU TANZANIA | Powered by Blogger.com.